Tetesi
Klabu za Chelsea na Real Madrid zinaongoza mbio za kumuwania mshambuliaji wa Bayern Munich Robert Lewandowski raia wa Poland mwenye miaka ya 29 ambaye yuko mguu ndani mguu nje.
Barca watachuana na mahasimu wao, Real Madrid kumsajili beki wa pembeni mwenye asili ya Austria anayekipiga na Bayern Munich, David Alaba (25).
Kama tuna tengeneza team kupitia kwa kina Casimiri, Ispecta Kov nk.basi wampe mda Zinedine zidane .Real Madrid hawawezi kumsajili Lewandoski tena, ni too late. Alitakiwa aje pale 5 years ago. Hatuna historia ya kusaini vikongwe, huyo Jose Mourinho atamfaa. Sisi tunatengeneza team ya kina Vincius Jr sasa hivi sio hao wahenga
Kama tuna tengeneza team kupitia kwa kina Casimiri, Ispecta Kov nk.basi wampe mda Zinedine zidane .
Maana huyu jamaa sijaona akifanya usajiri mkubwa wa wachezaji
Ronaldooooooooo/QUOTE]
Mkuu tuwekee idadi ya wanaongoza magoli laligaGame imeisha wazee Madrid anamchapa mtu kwake 2 kwa 1 mnyama cr7 anazamisha yote mawili
Daaah
CR kajitahid kishenzi