ElPuto Jefe
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 5,286
- 19,469
usiku wa jana ilikuwa ni lazima tuu
PSG afungwe kutokana na safu kali ya ushambuliaji na wings za REAK MADRID
vijina wadogo kabisa
PSG ilikuwa lazima watoke
Akimuendekeza Benzema atamsababishia kibarua kiote mbawa.Haa haa haa fact mkuu, dogo hana no. Madrid kwa sasa, angekubali kipindi kile kuja jana angekua anakiwasha tu kwenye uzi mweupee.
Ila Benzema sio ridhiki kabsa, naona jana hadi Zidane mwenyewe kamind jinsi alivyokosa lile goli yeye na kipa akaamua muda huo huo amupe sub.
Isco anauwezo mzuri wa kumiliki na kuuchezea mpira ila tatizo lake in backpass.dogo yupo vzur ila cku za nyuma alikua ana utoto flan wa kurudisha mpira nyuma kma wa Isco
Isco anauwezo mzuri wa kumiliki na kuuchezea mpira ila tatizo lake in backpass.
kalikuwa kanapoteza sana mipira kule winger ya kulia, kalikuwa hakaoni goli pia kalikuwa hakana stamina. sikuhizi naona kameingia na gym. labda umeamua tu kukatetea ila wanaocheki mechi za RM watakubaliana nami.
Sherehe kivip wakat wanakosa fungu?Q
Nasikia Barcelona kuna sherehe Neymar katolewa kwenye Champions league
Naomba msaada wa kupata kad ya uanachama wa real madrid hapa tz