HAKUNAMATATA
JF-Expert Member
- Jun 29, 2017
- 1,006
- 2,289
Tumeliwa kichwa Tena. Forwards na Marcelo wameisha vibaya, hawafai kuwa starters labda kuingia dakika za majeruhi.
Hapa Perez avute Neymar na world class players wengine wawili watatu. PSG atatuvua nguo UEFA na mwakani tunaweza isikia UEFA kwenye bomba tu
Mkuu beki zetu tutazilaumu tu bure, kama strikers hawafungi tegemea kufungwa ama kudraw kama ambavyo inatutokea sasa.
Marcelo kapiga krosi zaidi ya 4 lakini wafungaji hakuna, Marcelo kapiga shot on target moja nzuri sana.
Tunaona Man city hawana clean sheets nyingi lakini kwa kua strikers wao wanafunga goli wanazofungwa hata hazionekani
Madrid nawafananisha na CCM bila polisi ni wepesi kuliko karatasiMadrid sijui kuna nini
Zizou's Pre-Match Presser:
"I believe in my squad. They are my values and I will defend them until the end. I believe in what I do and will keep going until the end, until they change me."
Reinforcements
"I don’t need anyone and that's that. I don’t want anybody. We have a squad, we started with them and I believe in my players."
World class alosajili Perez na kulazimisha wachezeshwe ni Benzema ,huna macho au ?Perez bora aamue mwenyewe kwenda kusajili world class player wawili au watatu kisha ampe order kuwachezesha apende asipende. Vinginevyo UEFA next year haitatuhusu hapa.
Kuwaamini vile vitoto Vasquez na Kovavic ni kukubali kushindwa. Barca is spending a fortune kununua world class players yeye yupo na vitoto vyakeTujikumbushe maneno ya Zidane kila pre-match press.
Bora Perez aingie sokoni mwenyewe kuliko haya maneno nina kikosi kizuri kumbe sub zenyewe za kina Lucas na Mayoral
Rudi shule mkuu, maana na ww n walewaleMadrid nawafananisha na CCM bila polisi ni wepesi kuliko karatasi
Sasa ndio Madrid bila mbeleko yaaani ni kama kumsukuma mlevi
N kwel mkuuMadridiots timu zishawajulia....mnapenda sana macross sasa wapinzani wanakuwa makini kwenye box ka leo....hamna watu wakuweza kudrible mpira vzr na kuingia ndani ya 18 , uwezo anao kdogo isco ambaye naye akipata anakimbilia pembeni coz mshamzoeza....mibeki inapanda inajisahau kurudi inafikiri imekuwa winga hivi na matokeo yake counter attack kisha kamba.
Sioni Madrid hii ikinyanyua kwapa this season...
Tatizo sio cross au kwenda pembeni tatizo ni umaliziaji. Umeangalia game leo? Unajua nia chances ngapi zimepotea ndani ya box? Ungekua umeangalia game usingeandika hizi pumbaMadridiots timu zishawajulia....mnapenda sana macross sasa wapinzani wanakuwa makini kwenye box ka leo....hamna watu wakuweza kudrible mpira vzr na kuingia ndani ya 18 , uwezo anao kdogo isco ambaye naye akipata anakimbilia pembeni coz mshamzoeza....mibeki inapanda inajisahau kurudi inafikiri imekuwa winga hivi na matokeo yake counter attack kisha kamba.
Sioni Madrid hii ikinyanyua kwapa this season...
Nimeangalia vzr sana....,yamkini kuliko ww...,let's go straight to the point....,Tatizo sio cross au kwenda pembeni tatizo ni umaliziaji. Umeangalia game leo? Unajua nia chances ngapi zimepotea ndani ya box? Ungekua umeangalia game usingeandika hizi pumba
CR pekee kamlenga goalie zaidi ya Mara tano ndani ya box hapo bado wengine. Total RM ilikua na 21 on target shots, so tatizo sio cross au wing tatizo ni umaliziaji
Hakuna anayekataa kwamba players wengi wa RM wameisha. Marcelo at his prime ni dribbler mzuri kuliko beki yeyote yule kuwahi kutokea katika uso wa Dunia labda na Mbrazil mwenzake Alves.Nimeangalia vzr sana....,yamkini kuliko ww...,let's go straight to the point....,
Kwan hizo chances zilitokana na nn??
Hivi ulimuona Suarez at the beginning of the season???? Alikuwa mbovu sana kwenye finishing....,je barca ilikuwa haipati matokeo???? Kwa sababu ina watu wenye uwezo wa kuhold mpira,kudribble vzr na kuingia nao ndani ya box......
Hata kwa mabeki waangalie Marcelo na carvajal kisha wacheki alba na Roberto....
Hawa wakwenu macross tu ndo yamejaa vichwani mwao....
Halafu krosi zenu nyingi leo zimezuiwa na mabeki...
Hakuna cha chances nyingi hapa...