Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Hhhhhhhh hizi dogs zimerudi tena kwa kennels zao...
Mapemaaaa namuibukia muhindi kariakoo anipe changu dadeqqqq!!!!!
Sijala leo lunch..,nimepata pesa ya lunch ka kumi na ushee hivi[emoji13] [emoji13]
What a surprise.....ndo maana nawapenda madridiots.., hamjawahi niangusha[emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23]
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha pigaaaaaaaaaaàaaaaaaaaaaaaaaa
Mbwaaaaaaaaaaaaaaaaa
Habari ya siku mkuu? Heri ya mwaka mpya pia. Naona kule kwako ni neema tu. King ni mnyama mkatili.
 
Reactions: PNC
Maneno haya ya Zidane yanatucost


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…