Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #34,161
Navas Keylor turns 31 today!
Real Madrid Basketball beat Barça Basketball 87 - 75 yesterday night
![]()
Kwa kweli anawakilisha vizuri sana mpaka nasahau uwepo wa Carvajal.Achraf has a role model to follow at Real Madrid.
![]()
Ni saa ngapi kwa ukanda wa east africa?Real Madrid squad for Club World Cup Final against Gremio.
[HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
![]()
Na wataendelea kutroll na mipovu kibao huku giant wa dunia anaendelea kumiliki himaya bila tabu.Another trophy on the way to the Bernabéu. Haters keep trolling lakini tunajua hii inawauma sana.
Ila mchezo ukojeHALF TIME: Real Madrid 0-0 Gremio [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
![]()
Madrid wako vizuri. Huoni Modric na Isco wakiwa kwenye ubora wao!?.Hivi hii timu ni mbovu au kwamba timu yangu imerudi kwenye ubora ..maana tunakuja tuu ..ila wawe makini madrid.