Hahahahahahahahahahhahhahha Real Madrid mmepigwa kipigo cha mbwa mwizi hahahhahhahahaha sasa ao Tottenham tu, Je mkikutana na mziki wa Barcelona hii ya kina mafundi Messi, Paulinho, Dembele nae anarudi au PSG ya kina Neymar si mtakimbia mji? Na bado nawasubiri El Classico kipigo ntachowapa hamtakisahau maishani mwenu.
Punguza matusi ndugu yangu, Mpira ushabiki ni maneno bila matusi huwezi jua pegine naweza kukuzidi sana kiumri au ukanizidi sana kiumri haifai iyo.Timu hii hii ndio ilikupiga nje ndani only one month ago. Kama huijui El Classico chukua kopo ukachambe.
una mawazo ya kitoto sanaBaada ya kufungwa goal 3 na Tottenham Fc na kuishuhudia leo Barcelona akimpa mtu kipigo kama mlichopewa na Tottenham, kesho mtakua dimbani kucheza na Las Palmas. Barcelona tuko katika maombolezo makali baada ya Real Madrid kufungwa goal 3 na tunaomba mashabiki wote wa Real Madrid duniani kote tuungane kuishangilia Barcelona ili itusaidie kuwapiga hawa Sevilla goal 3 kama sie tulizopigwa na Tottenham.
una fanana na mshabiki wa team flan apa TzBaada ya kufungwa goal 3 na Tottenham Fc na kuishuhudia leo Barcelona akimpa mtu kipigo kama mlichopewa na Tottenham, kesho mtakua dimbani kucheza na Las Palmas. Barcelona tuko katika maombolezo makali baada ya Real Madrid kufungwa goal 3 na tunaomba mashabiki wote wa Real Madrid duniani kote tuungane kuishangilia Barcelona ili itusaidie kuwapiga hawa Sevilla goal 3 kama sie tulizopigwa na Tottenham.
Mkuu usinifananishe ngoja nikupe habari, mimi ni mwanachama hai wa bingwa ya Ligi kuu Tanzania bara miaka 3 mfululizo.una fanana na mshabiki wa team flan apa Tz
Ahsante mawazo ni mawazo tu ndugu yangu, karibu saa 4 na dk 45 usiku kwenye luninga yako uangalie mpira mzuri upate kusahau machungu yako ya UEFA.una mawazo ya kitoto sana
mbona una anza swag za fanana na Khadija MinaraMkuu usinifananishe ngoja nikupe habari, mimi ni mwanachama hai wa bingwa ya Ligi kuu Tanzania bara miaka 3 mfululizo.
Hapana mkuu, sie ni Yanga Africa kutofautiana kwenye soko la Ulaya kusitufanye tuwe maadui. Karibu uwanja wa Namfua uone tukichukua point 3 leo.mbona una anza swag za fanana na Khadija Minara
Mweee mnatia huruma aiseeeNimesikia habari za kunyapia mateo kovacic is back katika pitch nafikiri hii ni good news