Noo, team inajitahid japokuwa mambo hayatuendei poa,ishu ni kwamba tunakosa attacking power kutokana na Isco kushuka sana, nilitegemea Modric na Toni ndio wapandishe mpira then yeye ndio apokee hayo mashamblizi kwa kuwawekea foward wetu pass za mwisho,. sasa unafikiria kama anayetakiwa kutoa pass ya mwisho amebaki nyuma hayo magoli tutayafunga Vp?
So Zidane ana kazi ya kufanya kuweka hii ishu Poa, plus matatizo ya back line yetu.