Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,763
- 6,522
Karibia vijana wetu wote viwango vyao vimeshuka, bado sijaelewa tatizo ni nin, tunajikuta tunacheza vizur sana kwenye kiungo ila kusogea kwenda lango la wapinzani ndio shida inaanzia hapo, kuna muda Isco ambaye ndio anategemewa kutoa pass za mwisho kwa foward wetu, unamkuta yupo chini kabisa, Kwa upande wangu hapo ndio ninaona tatizo linaanzia, hatuna mtu wa aina ya James ama Ozil kufanya hiyo kazi, ndio maana muda mwingi tunapitia pembeni huku na kwnyew bado msimu huu pamepoa sana, so tuendelee kukaza hivyo hivyo na hawa vijana wetu labda Zizou anapata jibu plus Kova na Dani wakirudi mambo yanaweza kubadilika.kweli mkuu mwekundu japo msimu hujaisha ila ananipa wasiwasi mno
Yaan umesema kitu na pia zidane aje na mbinu mpya hii mbinu tia maji tia maji sioni km inafaa km ingewezekana tutumie penetration pass na last man attack to goal .Karibia vijana wetu wote viwango vyao vimeshuka, bado sijaelewa tatizo ni nin, tunajikuta tunacheza vizur sana kwenye kiungo ila kusogea kwenda lango la wapinzani ndio shida inaanzia hapo, kuna muda Isco ambaye ndio anategemewa kutoa pass za mwisho kwa foward wetu, unamkuta yupo chini kabisa, Kwa upande wangu hapo ndio ninaona tatizo linaanzia, hatuna mtu wa aina ya James ama Ozil kufanya hiyo kazi, ndio maana muda mwingi tunapitia pembeni huku na kwnyew bado msimu huu pamepoa sana, so tuendelee kukaza hivyo hivyo na hawa vijana wetu labda Zizou anapata jibu plus Kova na Dani wakirudi mambo yanaweza kubadilika.
Mimi jana nlivyoona hatueleweki beki...nlishikwa na hasira sana nkaamua kuondoka kwenye TV....timu inacheza kama haishindani kabisa aisee....beki hawa watoto siyo wakuwaamini sana...sijawahi kumkubali Nacho mimi aisee kabisaaa....ni mzito na anatabia yakushangaashangaa sana uwanjani....Tall, I see a lot of mistakes from our defence line and Girona creating chances every few minutes.
Mimi jana nlivyoona hatueleweki beki...nlishikwa na hasira sana nkaamua kuondoka kwenye TV....timu inacheza kama haishindani kabisa aisee....beki hawa watoto siyo wakuwaamini sana...sijawahi kumkubali Nacho mimi aisee kabisaaa....ni mzito na anatabia yakushangaashangaa sana uwanjani....
Mimi jana nlivyoona hatueleweki beki...nlishikwa na hasira sana nkaamua kuondoka kwenye TV....timu inacheza kama haishindani kabisa aisee....beki hawa watoto siyo wakuwaamini sana...sijawahi kumkubali Nacho mimi aisee kabisaaa....ni mzito na anatabia yakushangaashangaa sana uwanjani....
Hahaha, ila ni ukweli kuwa Nacho huwa anatabia ya kuduwaa, sijui huwa mawazo yake yanakuwa home au laa, sababu kuna siku alishapitwa tena kizembe hivyo hivyo., sema na yeye anasaidia sana tunapokua na upungufu kwenye upande wa beki.,Mimi jana nlivyoona hatueleweki beki...nlishikwa na hasira sana nkaamua kuondoka kwenye TV....timu inacheza kama haishindani kabisa aisee....beki hawa watoto siyo wakuwaamini sana...sijawahi kumkubali Nacho mimi aisee kabisaaa....ni mzito na anatabia yakushangaashangaa sana uwanjani....
Leo tunamnyonya spurs 3 moja akae anajua iloSijui leo tutashinda kubabake...
Na iwe hivyo maana huu msimu haujawa mzuri kwa kweliLeo tunamnyonya spurs 3 moja akae anajua ilo