Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,656
Sure Mkuu, ninatamani jamaa arudi kabla ya game na Spurs, ila kwasasa inabidi tu tumwamini Hakimi.Dani sio majeruhi bali ugonjwa, na kupona kwake hakuna muda maalum. Inaweza kuwa hata kabla ya mwezi kuisha.
Sure Mkuu, ninatamani jamaa arudi kabla ya game na Spurs, ila kwasasa inabidi tu tumwamini Hakimi.
I hate Madrid to the core but no one deserves What Dani is going through "heart problem "Dani sio majeruhi bali ugonjwa, na kupona kwake hakuna muda maalum. Inaweza kuwa hata kabla ya mwezi kuisha.
Umenishtua ulivyosema heart problem, lakini hiyo wamesema viral infection kwenye pericardium(viral pericarditis) itaisha yenyewe na soon ataendelea kukipiga. Jamaa ni muhimu pia kwenye national timu.I hate Madrid to the core but no one deserves What Dani is going through "heart problem "
Get well soon
mitaa hii watu wamefurahi,cause Barca ataporwa point tatu-at least wata catch upUmenishtua ulivyosema heart problem, lakini hiyo wamesema viral infection kwenye pericardium(viral pericarditis) itaisha yenyewe na soon ataendelea kukipiga. Jamaa ni muhimu pia kwenye national timu.
mitaa hii watu wamefurahi,cause Barca ataporwa point tatu-at least wata catch up