Tunacheza vizur sana sehemu ya kiungo, tumecontrol hii game , tatizo vijana hawajatulia kwenye final third ya adui plus hazijapikwa nafasi nzuri za magoli, hope tutapata goli mapema kipnd cha pili.