Hapa tu ndipo huwa ninamkubali Zizou, anaamini sana vijana wake si ajabu Leo Borja Mayoral akatubeba.Keylor Navas/ Carvajal, Varane, Ramos, Theo/ Casemiro, Modric, Isco/ Asensio, Bale, Mayoral
Kweli kabisa na Marcelo alisemaga Madrid wakiwa nyumbani wanahisi wapo ugenini kutokana na presha ya mashabiki lakini tukiwa away tunakuwa comfortable,nategemea leo upinzani kutoka kwa sociedad lakini ushindi pale pale kwa Madrid,away games tuko vizuri sana# Hala MadridWanasahau kwamba Real Madrid wanatisha wakiwa ugenini.
Wacha vijana wakinukishe leo. Bale lazima atupie leo.
Muhimu ni vijana wetu kuwaheshimu wapinzani wetu , na kucheza kwa malengo. Hizo ndio zilikuwa nguzo zetu msimu uliopita, natumaini na leo watafanya hivyo piaKweli kabisa na Marcelo alisemaga Madrid wakiwa nyumbani wanahisi wapo ugenini kutokana na presha ya mashabiki lakini tukiwa away tunakuwa comfortable,nategemea leo upinzani kutoka kwa sociedad lakini ushindi pale pale kwa Madrid,away games tuko vizuri sana# Hala Madrid
Haina kulemba hiyo point zinatakiwa na rekodi piWakuu mbona mmeanza kwa kasi hivi!!!
Still more to comeRamos with double control inside the box with going to attempt a double kick but Mayoral with a shot to score Real Madrid 1st goal tonight