wooden flag
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 969
- 1,949
Nitafarijika sana mkipoteza tena point leo, weekend yangu itakuwa imeisha vizuri sanaWe can't afford to drop more points. Na hili ndilo litaifanya squad hii hii kuonekana moto, Anoeta wataisoma leo
Keep dreamingNitafarijika sana mkipoteza tena point leo, weekend yangu itakuwa imeisha vizuri sana
Nitafarijika sana mkipoteza tena point leo, weekend yangu itakuwa imeisha vizuri sana
Wewe huijui laliga vizuri, ikitokea leo mkapoteza point zote tatu, sahauni ubingwa , mtakuwa mnazipunguza points then zinarudi,tena zinaweza kuzidi.Kwenye kipindi kama hiki, hata Real Madrid wakiwa na tofauti ya 20 points na league leader utafarijika weekend yako. Lakini competition is there, till mathematically impossible. That's Real Madrid

Wewe huijui laliga vizuri, ikitokea leo mkapoteza point zote tatu, sahauni ubingwa , mtakuwa mnazipunguza points then zinarudi,tena zinaweza kuzidi.
Laliga ukishapoteza point kizembe inakula kwako moja kwa moja iwe ni mwanzo wa msimu au mwisho. Barca walipoteza point tatu mechi ya pili kama sikosei na alaves msimu uliopita, iliwatesa msimu mzima na hatimaye kupoteza ubingwa pamoja ingawa katika mechi za el clasico walidrop point mbili tu
Ungeelewa nilichoandika ingekusaidia sanaUsipende kukariri. ligi bado ndefu sana. Msimu aliotimuliwa Carlo, tuliingia January na points 7 dhidi ya mshindi wa pili na hatukuchukua ubingwa. Msimu wa kwanza wa Zidane, mpaka tunaenda Camp Nou wenyeji walikuwa na points zaidi ya 6, ila ligi iliisha kwa tofauti ya point moja. Msimu ulioisha tulitoka Camp Nou na ziada ya points 4, ila tulisubiri hadi mchezo wa mwisho kushinda ligi.
Hata kiimahesabu points 7 hazitutoi kwenye kinyang'anyiro ukizingatia bado tuna potentially 6 points kutoka kwa hao waliotuzidi.
Hahaha , shukran sana Mkuu kwa majibu mazuri, nimependa hapo tu kuwa tuna point 6 kwa hao waliotutangulia! ! [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG].Usipende kukariri. ligi bado ndefu sana. Msimu aliotimuliwa Carlo, tuliingia January na points 7 dhidi ya mshindi wa pili na hatukuchukua ubingwa. Msimu wa kwanza wa Zidane, mpaka tunaenda Camp Nou wenyeji walikuwa na points zaidi ya 6, ila ligi iliisha kwa tofauti ya point moja. Msimu ulioisha tulitoka Camp Nou na ziada ya points 4, ila tulisubiri hadi mchezo wa mwisho kushinda ligi.
Hata kiimahesabu points 7 hazitutoi kwenye kinyang'anyiro ukizingatia bado tuna potentially 6 points kutoka kwa hao waliotuzidi.
Ungeelewa nilichoandika ingekusaidia sana
Sure Mkuu , wala usiwe na wasiwasi man , game itakuwa ngum sana ukizingatia current form ya wapinzani wetu, ila tuna vijana sahihi ya kuziba hayo mapengo.Game ya kesho ugenini tunacheza bila CR7,Marcelo,Kovacic,Varejo,Benzema na Kroos sijui hata itakuaje lakini naamini tutatoka na 3 points.
Unamaanisha nini Mkuu , unazungumzia squad depth ama hali ya majeruhi iliyotukumba kwa sasa?Hali ya squad sijaipenda sana
Hiyo ni kamari, zinaweza kuponyoka na kufika gap la 13 points, leo najua mnapoteza.Hahaha , shukran sana Mkuu kwa majibu mazuri, nimependa hapo tu kuwa tuna point 6 kwa hao waliotutangulia! ! [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG].
Wewe huijui laliga vizuri, ikitokea leo mkapoteza point zote tatu, sahauni ubingwa , mtakuwa mnazipunguza points then zinarudi,tena zinaweza kuzidi.
Laliga ukishapoteza point kizembe inakula kwako moja kwa moja iwe ni mwanzo wa msimu au mwisho. Barca walipoteza point tatu mechi ya pili kama sikosei na alaves msimu uliopita, iliwatesa msimu mzima na hatimaye kupoteza ubingwa pamoja ingawa katika mechi za el clasico walidrop point mbili tu
Yaani sina wasi wasi kabisa na game ya Leo , bado sihofii matokeo yoyte, ninajua bado nafasi tunayo tena kubwa sana ya kukaa pale kileleni mwa La Liga.Hiyo ni kamari, zinaweza kuponyoka na kufika gap la 13 points, leo najua mnapoteza.
Jamaa wameshinda mechi zao zote wakifunga goli kumi na kufungwa nne. Nyie bila ila cr7 mmefunga 6 ti na kufungwa 3. Luna sababu nzuri uwahofu hawa jamaa nyumbani kwao. Tukutane nne kasorobo.Yaani sina wasi wasi kabisa na game ya Leo , bado sihofii matokeo yoyte, ninajua bado nafasi tunayo tena kubwa sana ya kukaa pale kileleni mwa La Liga.
Jamaa wameshinda mechi zao zote wakifunga goli kumi na kufungwa nne. Nyie bila ila cr7 mmefunga 6 ti na kufungwa 3. Luna sababu nzuri uwahofu hawa jamaa nyumbani kwao. Tukutane nne kasorobo.
Hali ya majeruhi ambayo imepelekea squad depth kutingishika. Au we waonaje.Unamaanisha nini Mkuu , unazungumzia squad depth ama hali ya majeruhi iliyotukumba kwa sasa?
Inaelekea una kichwa kizito sana huwezi kuelewa,siwezi nikapoteza mudaLabda nieleweshe unaongelea nini.
Inaelekea una kichwa kizito sana huwezi kuelewa,siwezi nikapoteza muda