Tuwe wavumilivu shida ya wa Tanzania tunataka timu ishinde tu kila siku kumbukeni hili ni soka na matokeo ya jana ni moja ya matokeo yanayoweza kupatikana kwenye soka nayo tuyapokee.
Tunatakiwa kuipa ushirikiano timu kwa kila hali bila kujali aina ya matokeo tuache lawama kwa wachezaji kukosa hilo lipo tu.
Ndiyo maana ukimuuliza mshabiki wa mpira hata baadhi ya makocha timu yenu leo inashinda ngapi?
Atakwambia tunauwa leo nyingi tu hata 7.
Hiyo ni kukosa heshima kwa mpinzani wako maana naye kaja kajiandaa. Tunatakiwa kuiheshimu kila timu inayokuja mbele haijarishi ndogo kiasi gani.
Benzema nikimsikia natamani tuwauzie ata lipuli fc , tunaitaji striker mdogo mdogo nafikiri yupo dogo wa ajax atatufaa sana [HASHTAG]#benzemaout[/HASHTAG]