Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,296
Sasa kama Ramos anafanya ugangwe ule na undava kama tupo uwanja wa kinesi ulitegemea Messi hata u captain domo umshinde? tena waweza kukuta alikuwa anaongea kwa upole "brother Ramos punguza basi ubabe tucheze soka "Hahahahahhahaha...wale wakutafisri ishara za mdomo....messi na shakira wametukana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo safari ishaanzaNaombea tu asije kuwa flop
Hala Madird
Yani Mateo anashangaa tu haamini kijana huyu kufanya vitu vikubwa namna hiyo. 30yrd anamtungua kipa. Kashika na kichwa utadhani kafungisha vile.Kovacic amebaki anashangaa
Halaaaa Madrid,,,woyoooooooooIf you are yet to see Karim Benzema Goal, here it is. Thank me later.
Benzema anaifungia madriid goli la pili dakika ya 39 na kufanya mjumuisho wa magoli 5-1.
Halla madrid.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama Ramos anafanya ugangwe ule na undava kama tupo uwanja wa kinesi ulitegemea Messi hata u captain domo umshinde? tena waweza kukuta alikuwa anaongea kwa upole "brother Ramos punguza basi ubabe tucheze soka "
(Loading..)Club world cupAgree? we have fantastic start in this season 2017
(done) UEFA Super Cup2017
(done) Spain Super Cup2017
(Loading...) UEFA Champions League Cup
(Loading...) Laliga Cup
Sent using Jamii Forums mobile app
Alishaandika Eddo kumwembe"Simpendi Ronaldo lakini nifanyeje"Ha ha ha huyo fala ana wivu na Cristiano ila ana mabwana zake akianza kuwatetea hutakiwi kumpinga.
Sisi wengine tushaamuaga kupuuza hizo jealous.
Cristiano ni kama maji tu lazima uyatumie.
Sasa kama Ramos anafanya ugangwe ule na undava kama tupo uwanja wa kinesi ulitegemea Messi hata u captain domo umshinde? tena waweza kukuta alikuwa anaongea kwa upole "brother Ramos punguza basi ubabe tucheze soka "
Tushawazoea hao ukiwaambia wanakwambia eti "fanboy" tumeamua kuwaacha tu uzuri kila siku anawaonyesha kwa vitendo wao wamebaki na maneno tu....tupo hapa na cristiano ataendelea kubaki hata kama hawapendi perez ndio Boss sio sisi washabiki
Hapo unenena,wao wanaamini kale kajamaa ndo best,acha tushuhudie maajabu ya cr7.Tushawazoea hao ukiwaambia wanakwambia eti "fanboy" tumeamua kuwaacha tu uzuri kila siku anawaonyesha kwa vitendo wao wamebaki na maneno tu....tupo hapa na cristiano ataendelea kubaki hata kama hawapendi perez ndio Boss sio sisi washabiki
Hahaha, ilikuwa kituko man, mambo yalienda kinyume, wanasema ukiona mtu mzima angalia ujue kuna jambo, Suarez sikumwelewa pale ama alitaka ampige meno kijana wa watu kama kawaida yake!?Yaani leo tulivyowashika Barcelona
Casemiro badala ya kumkata Messi
Yeye ndio akawa anachezewa rafu mara avutwe na Suarez