Goals against barca test extra when Pique is involved.
Leo pique alikuwa bonge la beki sema Jaangushwa na vidal. Alikuwa anafanya kazi ya 2men. Kafanya bonge la kazi. Usishangilie ni kama tupo HT tu mkuu.Nilishawahi kuwaambia Barca fanboys kuwa Pique sio beki isipokuwa alikuwa analindwa asipatwe na mashambulizi kutokana na ule mfumo Wa barca kumiliki Mpira kupitia viungo wao...Sasa viungo wao wamekwisha ndo linajidhihirisha.
HT ni dkk 45 mkuu...kipute kinaanza upya hiko na MWALI tutamshuhudia kwny chaki ya uwanja na unaelewa Galacticos roho zao zinavyokua wakimuon mwali mkoleniLeo pique alikuwa bonge la beki sema Jaangushwa na vidal. Alikuwa anafanya kazi ya 2men. Kafanya bonge la kazi. Usishangilie ni kama tupo HT tu mkuu.
Mkuu na huku upoLa kuvunda halina ubani game ilikuwa yetu tu
Acha kujifariji wewe,Madrid cku zote tukiona njombe ndo speed inaongezeka,tutawapiga nje ndani.Msishangilie sana. Bado 2leg na tuna uwezo wa kuwapiga tano Bila. Don't get ahead of yourselves.
Hala MadridFULL TIME: the Catalans 1-3 RealMadrid (Messi (pen) 77'; Piqué (OG) 50', Cristiano 80', Asensio10 90'). [HASHTAG]#RMSupercopa[/HASHTAG] [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
Ndoto hizi za Alinacha..Msishangilie sana. Bado 2leg na tuna uwezo wa kuwapiga tano Bila. Don't get ahead of yourselves.
Hahaha, Mkuu umeniacha hoi, kwahiyo hao wajamaa wapigwe misumari!? Ila na wao waone hata aibu basi, kuanzia pre season wanapewa nafasi ya kucheza ila duu matunda hakuna, sasa hapo wakiaanza kuchomesha mahindi wataanza kulalamika kwenye media!!Congrats Madridistas. Only negative outta this game is Kovacic's 'injury', fingers crossed it's nothing serious. He was his usual beast, and so was Isco.
Expecting not to see Carvajal in the second leg, he's still sleeping. Theo for the awesome Marcelo, Nacho for Ramos who played a mature game tonight. Bale and Benzema kama kuna mtu ana babu yake fundi, walogeni tu jamani, maana hakuna tena namna.
jackline where are you? Still living 10 minutes from New Camp?[
Alipotea Mkuu, alimwahidi nyt yetu Roger kuwa angekuwa hapa kuanzia game inaanza ila loo sijui aliingia chini ya mvungu ama laa, sababu hakutokea kabisa, na kwa matokeo yale sijui kama atathubutu kuja upande huu.
BREAKING:
Cristiano Ronaldo gets a 5-match ban for pushing the referee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Too Sad.
Sio mbaya maana Refa alizingua