Yeah I remember. If I could be him/her I could celebrate Copa Del Rey at the moment. Zidane is genius, he's in a mission to put their new man, somebody Valverde, in a list of this guys this season
Mmekuwa watu wa kutegemea miracles siku hizi....hahahaa....ndo nini majirani kumuuza Neymar na kununua marefa???mazoea yana tabu Kweli kweliMsishangilie sana. Bado 2leg na tuna uwezo wa kuwapiga tano Bila. Don't get ahead of yourselves.
Leo zidane lazma atakimbia uku kashika chupi maana atabakwa vya kutosha
Si Velverde alianza kwa kuwachapa 3-2 kwenye ICC.Aisee kweli bhana...Huyo velverde wao kaingia kwenye hii list
Mmekuwa watu wa kutegemea miracles siku hizi....hahahaa....ndo nini majirani kumuuza Neymar na kununua marefa???mazoea yana tabu Kweli kweli
Bado mna time lkn,kesho mwageni mpunga heavy kwa coutinho j4 mtafutieni kibali j5 mje kidogo mlete upinzani maana naona tutakuwa kama tupo training coz kaka mkubwa Luka atakuwa ndani ya nyumba(home and away defeat inawahusu boy)
jiandaeni leo misumali ya moto
Aiseee usisahau j5 kombe uwanjani na hawa jamaa los blancos wakishaona mwali uwanjani boy huwaga....Si Velverde alianza kwa kuwachapa 3-2 kwenye ICC.
Coutinho na Dembele ni kwaajili ya 21 December. Jtano tunamuanzisha Dennis, Roberto na Semedo na kuwala nyingi tunazowalaga.
Possession Barca 93 Madrid 7
Pamoja na kucheza tukiwa 10 uwanjani bado REAL MADRID imethibitisha ni club bora kabsaaaa karne ya 21
Sent using Jamii Forums mobile app
Msishangilie sana. Bado 2leg na tuna uwezo wa kuwapiga tano Bila. Don't get ahead of yourselves.
Si Velverde alianza kwa kuwachapa 3-2 kwenye ICC.
Coutinho na Dembele ni kwaajili ya 21 December. Jtano tunamuanzisha Dennis, Roberto na Semedo na kuwala nyingi tunazowalaga.