Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,706
- 6,373
Duu, sikutarajia kama yangetukuta haya, haya matokeo hayana maana sana, ila ndio muda wa kuweka mipango, hope mambo yatabadilika huko mbeleni.Pre-seasons are just for training and fitness, they don't necessarily define a season to follow. We lost all our pre-season games in 2014, including a 2-4 to Milan and 1-3 to United, and we had a decent run still.
Only negative things about our pre-season now are the setbacks on Ramos and Toni Kroos. No need to fuss.
Madrid ni wehu kwenye usajili na mara nyingi wamekuwa wakikosea
Nilifurahi nilipoona kijana amerudi kundini, anahitajika sana kwa sasa kurudisha ile fighting mentality, game zote mbili tulizocheza japokuwa hazina maana zaidi ya maandalizi, sikuona our usaual character, vijana walijikuta wanapasiana katikati ya uwanja tu, wapinzani haswa mabeki hawakufeel presha yetu kabisa kitu ambacho sio cha kawaida.The Capi is back training with the group. Only Toni missing.
Mapema sana Mkuu kusema kuwa mzimu wa Morata unatuandama, Morata aliamua kuondoka mwenyew, ndio maana hata kwenye barua yake uliona alimshukuru Perez na Zizou kwa kumwelewa, club iliona hakuna sababu ya kumshikilia mtu ambaye hana furaha simple as that, ila ninaamin kuwa bado tuna very competitive squad,
Nilifurahi nilipoona kijana amerudi kundini, anahitajika sana kwa sasa kurudisha ile fighting mentality, game zote mbili tulizocheza japokuwa hazina maana zaidi ya maandalizi, sikuona our usaual character, vijana walijikuta wanapasiana katikati ya uwanja tu, wapinzani haswa mabeki hawakufeel presha yetu kabisa kitu ambacho sio cha kawaida.
Sijui ni nani atavyaa viatu vya Ramos na Ronaldo kwa kweli, Marcelo sio wa kumtegemea kihivyo, labda Asensio na Theo, kidogo ninaona hawa vijana wanapenda kushinda, hao wengine wanapenda kucheza tu mpira.
You're missing the point. Tumecheza na timu zenye game time superior kuliko sisi, na zina njaa zaidi kutushinda. Wachezaji wetu karibia wote wanatumia hizi games kama training, na kilichomo vichwani mwao ni kuepuka injuries tu. Matokeo yoyote kwenye hizi games hayana maana kwa Real Madrid.
Mkuu unatetea sana wewe....mbali na hayo uliyozungumza hapo ila kwenye ukweli pasemwe maana bado si kwa kushika mkia huku....na ukumbuke hivi ni vilabu vikubwa europe tuna compete navyo...je matokeo haya yana reflect ni hasa? Ukizingatia mahasimu wetu kutokea Spain ndo wanaongoza table...huoni aibu???, yani tunazidiwa Hadi na ROMA na SPURS???
View attachment 553089