Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,763
- 6,522
Hala MadridMambo Vp Wakuu, hope bado tupo na ile spirit tuliyokuwa nayo msimu uliopita, baada ya kujipata mapumzimko ya kutosha nimerudi tena kuendeleza mtanange.
Shukran kubwa sana kwa Wakuu Salamander na Roger kwa kazi nzuri mnayoifanya ya kutuhabarisha., pamoja sana Wakuu
[HASHTAG]#Halamadrid[/HASHTAG]!!
Nawaza tuWakuu wenye nyumba mpo?
View attachment 548605
Kuna madogo wa kihispaniola wengi sana wamerudi los blancos kama wanne au watano hivi so nadhan ndo watakava nafasi hiyo ....
Kikosi kizito sana hiki, ngoja tuone itakuwaje, kama wamebadilishana hiv, ninadhan Mou ataingiza vijana wake kipnd cha pili wakati huo kwetu wanaingia madogoReal Madrid XI vs Man Utd | Navas, Carvajal, Varane, Nacho, Marcelo, Modric, Kroos, Isco, Lucas, Benzema, Bale. [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]