Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

d314e5eb81e7b13f5084cdc75459dcff.jpg
c6707e8d6b6d65bdcf065d89ce136a23.jpg
2a70706bba5aa9aaded27fb1b168e6bb.jpg
4b20e9f17ac49c2af415231d90a9892d.jpg
 
Wakati Messi akiwa na mabao 11 kuingia hatua ya robo fainali CR7 alikuwa na mabao 2 tofauti goli 9 ila mwisho wa UCL CR7 kaondoka na kiatu. Baada ya kujiongezea mabao dhidi ya Bayern 1st leg 2 2nd leg 3, kisha wakaja ATM akawadungua 1st leg 3 na akamalizia Juve Final 2.
Kweli kutangulia siyo kufika, halafu CR7 katupia magoli hatua ambayo ni ngumu maana ukishaingia mtoano huko ni kukutana na mabingwa kweli siyo kwenye makundi unakutana na timu ilikuwa ya tatu au nne kwenye ligi yao unawakandamiza magoli. Kama naiona Ballon d'or.
Wale waliotamani iende kwa GIGI sijui wamejificha wapi.
 
Mmeisikia hii wana Madrid, hope ni tetesi tu

Manchester United are lining up a world record £100m bid for Gareth Bale after turning their backs on Antoine Griezmann.
Wachukue tu huo mtumba
 
Back
Top Bottom