Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #30,001
Yani namkubali Zizou mpaka basi. Tokea akiwa mchezaji hadi kocha.
Huyu ndiye mchezaji wangu bora wa miaka yote,achana nao akina Pele wenu hahahaaa
Seriously jamaa ni genius wa mpira [emoji122] [emoji122] [emoji119]
Hala MadridIla tuliwaoverate sana hawa Juve,wamepigwa kiulaini hadi aibu yani.
Hala Madrid
Cheers [emoji485]
Wagumu Kwa MESSI.... hahaasaa.Eti wagumu!!? Wagumu huko huko kwenu