HT:Sisi hatuna nidhamu sana yakutoa pas nakupokea pass,hii inafanya mipango yetu kutokwenda vzr....wachezaji wetu wanasimama kusubiria mpira ufike...mawasiliano siyo mazuri sana....ukiangalia goli walilotufunga nila kizembe...beki wanamuacha mtu anapokea kifuan anatuliza anabinuka kisha anabetua kufunga....angapata msukosuko kidgo pale hata wa physical battle asingetulia...tunakaba kwa macho sana...lakini pia tunapiga sana back pass....hawa wana udhaifu mkubwa tu tukiutumia tunawalaza mapema...lakini tukifungwa mapema tutakuwa katika hali ngumu maana watarudi nyuma wanapiga kufuli inakuwa mchezo umekwisha....