Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,706
- 6,373
Ni habar njema sana kwa kweli!! nimeipokea kwa mikono miwili kwa kweli!! Anahitajika sana huyu mtu,uwepo wake utasaidia sana team kupandisha mashambulizi, hope atakuwa tayari kuanza!!Great News... Dani Carvajal says he's 100% ready for the final.
Mkuu inamaana hijaona kazi kubwa aliyoifanya Buffon msimu huu?. Ronaldo akishindwa kuscore kwenye fainali itakuwa ni wendawazimu kumpa Ballon D'or. hana rekodi zozote binafsi za kumbeba.Mkuu nimeona hiyo kitu mitandaoni...yani hao ni mashabiki Wa Barca...na wanasema hayo baada ya kuona Ronaldo ameshafanya some wonders na imebaki tu champion league tittle itakayompa nafasi kubwa ya kunyakua tuzo hiyo hasa akiwa pia mfungaji bora Wa michuano hiyo,Hao jamaa wanashangaza walianza kwenye LaLiga wakisema Forca Sevilla...tulivyowapiga Sevilla wakaamia Forca Celta...tulivyowapiga Celta...Wakaamia Forca Malaga...tulivyowapiga Malaga na kuchukua league tittle...wameamia Forca Juve kwenye UEFA-Final nasasa Forca Buffon Kwenye Ballon D'or ili tu Cristiano asiipate hiyo tuzo...hatari sana hao watu!
As's Cover | "Allegri: Isco is much more technical than Bale."
Could be true, or they could be playing some game on us. With Bale's speed on the flanks, you're guaranteed maximum pin on Alves and Alex Sandro in their own half, hence crippling Juve's offensive plans.
I personally would love Isco to start, but I won't trip if Bale does if he's fully fit.
Mkuu inamaana hijaona kazi kubwa aliyoifanya Buffon msimu huu?. Ronaldo akishindwa kuscore kwenye fainali itakuwa ni wendawazimu kumpa Ballon D'or. hana rekodi zozote binafsi za kumbeba.
Open Media Day was attended by 126 media outlets, 80 of them international, and 279 journalists from three continents.
Ramos: "Ballon d'Or for me? It's difficult, but if I had wanted individual titles I would have dedicated myself to tennis." (laughs)
Mkuu inamaana hijaona kazi kubwa aliyoifanya Buffon msimu huu?. Ronaldo akishindwa kuscore kwenye fainali itakuwa ni wendawazimu kumpa Ballon D'or. hana rekodi zozote binafsi za kumbeba.