BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,345
hahahaVijana walipigana sana sana, ilifika kipnd hata tukifungwa tuliamini kuwa vijana watarekebisha mambo!! Na kweli,this season hawa vijana walitufundisha kuwa mpira ni dakika 90,!! Vamos Real!!
Thanks a lot Mkuu, na wew pia tukushukuru kwa kutupa changamoto mara kwa mara!! Karibu tena Mkuu!!Hongereni wakuu. Mmepambana kiume sana huu msimu.
Thanks a lot Mkuu, na wew pia tukushukuru kwa kutupa changamoto mara kwa mara!! Karibu tena Mkuu!!Hongereni wakuu. Mmepambana kiume sana huu msimu.
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Kesho natamani niende kazini nimevaa jezi ya [HASHTAG]#MADRID[/HASHTAG] ila ndio hivyo hairuhusiwi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Usiku wa leo mnono sana
Mashabiki wakisubiri ndege toka Malaga itue Madrid shangwe ziendelee[emoji471] [emoji471]
Haaa haaa haaaYaani mitaa hiyo man saa hizi ni ulabu tu. Namiss sana pande hizo man.