pig man
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 292
- 319
Mie mwenyewe naona kama vile muda hauendi kabisa siku ya Leo.Ubingwa nauona uleeeee!!!! Natamani muda ufike aiseee
Mie mwenyewe naona kama vile muda hauendi kabisa siku ya Leo.Ubingwa nauona uleeeee!!!! Natamani muda ufike aiseee
Acha tu mkuu, naona majirani zetu jukwaa lao bado wamelalaMie mwenyewe naona kama vile muda hauendi kabisa siku ya Leo.


hawajiamini aiseee! Zidane kweli ni ☆★
Mlikuwa wapi siku zote mpaka kusubiri mechi ya mwisho madrid afungwe eti ndo mchukue ubingwa, sasa tulieni tuli leo mukione kilichombabua chura ngozi yake.Mungu saidia Leo malaga wamtandike mtu dah!

Hao jamaa ni zaidi ya wachawi kila siku kutuombea mabaya tu. Leo ndo Leo ndoo inachukiliwa kiulainiiiii.Mlikuwa wapi siku zote mpaka kusubiri mechi ya mwisho madrid afungwe eti ndo mchukue ubingwa, sasa tulieni tuli leo mukione kilichombabua chura ngozi yake.![]()
![]()
![]()