Still we need strikers wanaocheza kwa ajili ya matokeo ya timu. Ile attempt ya mwisho Ronaldo hakutakiwa kubahatisha kwasababu Asensio na Morata walikuwa kwenye nafasi nzuri ya kuweka mpira wavuni
Hahahaha, inawezekana kwa kweli, sio kwa kile alichokifanya. Pole sana Mkuu, ila usihofu utapata nafasi ya kuangalia Final!! [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]!!
ninadhan hata yeye anajishitukia aisee, tumemiss Dani big time!! hope atapona mapema akatusaidie kule Cardiff, sababu kibibi kizee anatakiwa kipigwa na mvua ya mashambulizi kutoka pande zote!! Leo upande wa kulia ni sawa na tuliweka nguzo.
Yaah ile kupigana kwake palileta utulivu flan baada ya goli kupatikana ila modric na fransisco pale kati na Germany mashine walikuwa wana nyumbulika pale mpaka burudani.
Ni afadhali angecheza Nacho kuliko Danilo kwa kweli!! yaani yeye awe anacheza game za akina Granada tu, kuna lile boko alilolitoa sema Navas akatusaidia, jamaa alitaka kupiga mpira kwa kichwa na kwa mguu wakati mmoja!! itakuwa vema tu akatembea mwisho wa msimu huu.