HT:Kwa kwel naipongeza timu imecheza vzr sanaaa...imetulia vyema...japokuwa mapungufu ni mawili...benzema hajiamini kabisa hata ile hali yakuwin mpira akiwa na mtu mmoja imemtoka kabisa...nafikri anatakiwa sasa aanzie benchi ili apate hasira....nyuma pale ramos na varane waongeze mawasiliano...inakuwa kama wanategeana...vinginevyo katikati tumewamata haswa.....nafikri kiungo iache sana kupiga back-pass ipenye isonge mbele...hawa huwa tunawajua ukiwapa pressure mara mbili ile ya tatu lazima uwafunge na huwa wanakata tamaa mapema sana...kwa hiyo hawa tukibadilika kimtazamo kwa maana yakuchanja mbuga katikati yao naona kabisa goli zaidi ya mbili hapa..naziona tatu kbisa