Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #28,381
FULL TIME: Real Madrid 2-1 Valencia CF (Cristiano 27', Marcelo 86'; Parejo 82'). [HASHTAG]#RMLiga[/HASHTAG] [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
jirani wewe leo unapiga na kibonde gani?Unaweza kuta Benzema ana mshahara mkubwa kuliko Marcelo?. BTW celta au sevilla mmoja wao atanifanyia mambo.
catalan derby na Espanyol.jirani wewe leo unapiga na kibonde gani?
aaahcatalan derby na Espanyol.
wapo ugenini uwa wanawakaziaga any thing can happenaaah
vibonde hao mtashinda hata 5
sisi uwe kibonde au usiwe 5 kawaida. ila wanapiga viatu.aaah
vibonde hao mtashinda hata 5
ila CR ile penat kaipiga ya kitotoo!!What A CRUCIAL WIN! But why worry when you've got the best left back in the world![]()
![]()