Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Messi yuko individual sana, tulitakiwa kukaba tuanzie mbele game yetu hii, lakini Cristiano ana preassure ya Bao, Bale pancha Benzema wenyewe sijui inakuwaje mpaka anakuwa kwenye first eleven kila siku, lazima watu kama Casemiro wapewe card.
Nataman zidane akose makombe yote msimu huu...
Unaleta ukabila kwenye maslahi ya timu. Morata anabaki nje libenzima linarukaruka tu uwanjani kiss ni lifaransa lenzake. Ukabila unagharimu timu ,hata mm wa kolomije siwez Fanya huu UJINGA.
 
Aisee hii kitu sio mchezo eti, uliza ni mashabiki wangapi wa Arsenal wameishajiondoa na vitanzi vingoni.
We are too emotional. Sometimes too emotional with things even doesnt resemble with our lives.
Kupanga ni kuchagua.
bos mimi mpaka sasa napata maumivi nadhan kama niko kwenye electric chair, ot hurts yaan huwez kuamini, nime zima taa nilale usingizi hauji
inaumaa bas tu!
 
Ivi kwa nn Zidane huwa anampenda benzema, wakati mtu mwenyewe ameshajichokea tuu
Analeta ubashite kwenye maslahi ya timu.
Naanza kumchukia kabisa , upendo umebaki 55% kwa huyu kocha.
 
Hii timu inaruhusu magoli sana, na ndio sababu tukakosa la liga last season, na leo hii inatufanya tuwe kwenye hali ngumu. Next season waangalie hili swala, hatuwezi kuwa confortable kama defence ina shake vile
 
Yeah next timeee... Tuwasubiri atletico tuuu
Kwa upumbafuu huu aliofanya tangu uefa na Bayern, atletico wanatuondoa mapema sana. Asipojua kutenganisha maslahi ya timu na utaifa vitamgharimu sana ktk career yake ya ukocha.
 
wakuu nikiwapa pole ntakuwa mnafiki maana mimi ndiye niliyewapiga. ila nasikitika kuwambia kuwa msimu huu hambebi kombe lolote [HASHTAG]#hahamadrid[/HASHTAG].
 
Nataman zidane akose makombe yote msimu huu...
Unaleta ukabila kwenye maslahi ya timu. Morata anabaki nje libenzima linarukaruka tu uwanjani kiss ni lifaransa lenzake. Ukabila unagharimu timu ,hata mm wa kolomije siwez Fanya huu UJINGA.
Kwwli kijana zidane nimemchukia sana hata akichukua vikombe vya liga na uefa nitamchukia sana anaudhi mpaka unakosa usingizi. Yaan nimeumia mno. Benzema sana nini ? Asensio na morata no wazuri sana. Hasa ukiangalia ile goli la asensio dhid ya Bayern Munich. Fan wa Madrid wampinge benzema aondoke
 
bro umewahi shabikia timu ikafungwa!!? hasa unayo ipenda!!?
unaweza kukuta wote hamja experience kila mtu anacho feel inaumaaaaa kufungwaaaaa
Nilijua wachangiaji wataongezeka baada ya mechi ndo maana nilizima data kabisa nikaenda kulala! kila umivu lina maumivu yake
 
huyu messi mpira huu ataucheza hata kama anamiaka 40.maana ndo yupo hivyo tokea tumboni kwa mama yake tokea alivyokuwa just a sperm aliwapiga chenga wenzake akazama kwenye yai
Hahhahaha leo hyo! kwani messi huyu wa elclassico ni tofauti na wa uefa?
 
Well! kumbe ulipitiliza kimawazo! btw hizi ni lugha mpirani mkuu huwa tunaumia muda huo, the good thing is..... Alirudisha furaha nilipoenda kitandani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…