Mkuu Marcelo ni tishio asikwambie mtu, Huyu Marcelo akishika mpira timu pinzani sio mashabiki wala wachezaji wanaanza kujamba,..... wachezaji wa Madrid watacheza ovyo wote lakini sio Marcelo sikumbuki ni lini Mara ya mwisho alipotea kwenye big game. Ila C.ronaldo siku hizi hasipofunga goli unaweza usijue kama yumo uwanjani.
Marcelo varangati lake sio la dunia hii nikionaga dribbling zake namkumbuka Bixente Lizarazu.
Ukiachana na makosa ya refa ambayo ni mengi ila Bayern walizidiwa kimchezo
Defense ya madrid waliwadhibiti washambuliaji wa Bayern
Hata kabla ya zile kadi nyekundu mara 2 walikuwa na shots on targert 3 tu wakati madrid 10 shots on target
Kadi moja ya njano kwa rafu zaidi ya nne tena nyingine alitaka kumvunja mguu Robben. Alafu na pia kama uliangalia vizuri ile ya Vidal hai kuwa rafu alicheza mpira sema rafa alidanganyika.
Kadi moja ya njano kwa rafu zaidi ya nne tena nyingine alitaka kumvunja mguu Robben. Alafu na pia kama uliangalia vizuri ile ya Vidal hai kuwa rafu alicheza mpira sema rafa alidanganyika.