Google huyo refa anaitwa Viktor Kassai... halafu uje na jibu ni shabiki wa timu gani. Fungua WikipediaNa tofauti ya Ronaldo ni goli la offside. Ingekuwa timu nyingine hapa ungesikia maneno ya kubebwa.
Shabiki wa Real MadridGoogle huyo refa anaitwa Viktor Kassai... halafu uje na jibu ni shabiki wa timu gani. Fungua Wikipedia
Hawa marefa wanaotoka ligi ndogo ndogo sijui uefa huwa wana waamini vipi hadi kuwakabidhi mtanange mzito kama huu... Huyu refa kabugi tangu mwanzo huyo Casemiro kwanza alistahili kula umeme kabla hata ya Vidal. Bado kawazawadia goli la offside.Shabiki wa Real Madrid
Amemtoa atulo Vidal ili iwe Raisi kushinda na amefanikiwa