Nategemea leo hapa katikati kwetu patakuwa na umakini wa hali ya juu na mpira hautakuwa na zile zakukimbiza sanaaa.....kwa sababu kross,modric na isco wapo hapo
Baada ya kazi nzuri na umahiri alioonyesha dhidi ya Gijon, Isco amepewa nafasi ya kuanza Leo, hope ataendeleza yale makali alioonyesha kwnye game uliyopita. [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]!!