Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,763
- 6,522
sikumoja tutakuja kuotewa halaf hatuta amini.
haitakiwi turuhusu magoli in every match kwa kweli
naona tunafanya kaz ya kukomboa magoli leo[emoji2]Kwani na Sevilla ilikuwaje? Wametuotea halafu wakapaki basi mpaka dakika ya 90 tumeumia.
mchukue DaniloNaomba mniuzie Isco Alcaron
Leo mkombozi sijui atakuwa ni nani!! ngoja tuangalie dk zilizobaki.81' 2-2 Another Last minute thriller ? [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
kuna anaye muelwaga bas!! huwa anaamua tu mwenyeweKati ya vitu ambavyo Zidane simuelewi ni kutowapa dakika nyingi za kucheza Isco na Morata