Zidane hovyoo kabisa ,unanwachaje morata nje full time na MTU kashalimwa red...
Unamwona kabisa benzema anazingua halafu unampa full time game!!!!
Zidane hovyoooo
Bernabéu Real ndio wanakotakiwa kucheza mpira hasa. Maana leo hii ni trailer tu, game hiyo ndio unajua nani anaaga mashindano. Na tukiwatoa hawa basi tunabeba ndoo.
Zidane hovyoo kabisa ,unanwachaje morata nje full time na MTU kashalimwa red...
Unamwona kabisa benzema anazingua halafu unampa full time game!!!!
Zidane hovyoooo
Nilishindwa kabisa kushabikia leo maana nazipenda sana hizi timu, ila wanapigana watoto wa nyumba moja sina haja ya kukaa pembeni kuwatazama hadi mwisho wa ugomvi wao (NAZIPENDA SANA HIZI TIMU MBILI)