Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #26,441
hii game tunashinda kabisa tukiongeza umakini second half
Hawa Betis ndio wametunyima ubingwa last season. Nuksi sana hawa.
hii game tunashinda kabisa tukiongeza umakini second half
so far tumecheza vizuri hope vijana watatumia vizuri nafasi za kufunga.. mimi kwa kweli team ambazo huwa sina hamu nazo ni sevilla na valencia 😎😎 huwa lazima watuharibie sherehe tuuHawa Betis ndio wametunyima ubingwa last season. Nuksi sana hawa.
Huyu Ramos ana goals kuzidi strikers wa arsenal combined