tunahitaji kipa mpya, ronaldo asicheze dakika 90, apewe 45 tu, pia pengo la modric na casemiro ni ngumu sana kuzibika, hawa watu wakikosekana kwenye mechi madrid anapata tabu sana, pia zidane anahitaji kuwapa morale, maana jamaa wamekua wabovu sana siku hizi.