Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #25,701
We Salamander mbona post karibu zote una post wewe tu peke yako mzee...
Ndo kusema hii thread inakuhusu wewe tu basi
Nilitegemea hiki kikosi, hope Leo Benz na Cris watajituma zaidi. Tunatakiwa kumaliza hii game Leo.Real Madrid starting lineup: Navas, Carvajal, Ramos, Varane, Marcelo, Casemiro, Modric, Kroos, James, Benzema, Cristiano
Ninategemea kuona pass za mwisho zenye macho kutoka kwake!!JAMES IN THE LINEUP!!
wekeni updates humu waungwanaIngawa mpaka sasa tupo sawa, ila ninaona tukiwafunga hawa watu., hata kwao tutawapiga pia, tuna kikosi kizito sana.