Mbona kama kuna kauzembe flani hapa. Yaani imeshindikana kufanya namna yoyote kuhakikisha mechi inachezwa?
Sasa kanuni za la liga zinasemaje inapoonekana kuna makusudi kama haya yamefanyika. Na ni bora wafungwe tu na wakija anga zetu tena tunawamaliza kwa 5-0 maana majeruhi watakuwa wamesharudi.Hapana sio uzembe ni makusudi tu, si unajua wana tough match vs Aleves katikati ya wiki, kwa hiyo walipanga leo wasichezeshe kikosi chao kamili. Hii imetokea wanaona ni bahati kwao. Naombea wafungwe na Alaves acheze fainali nyau hawa
viporo viwili hivi ni mtaji pia tutakua tunacheza kwa madoido
Wanaudhi sana ! Halaf celta na sevilla sjwapendi mieNi bora kuweka point 3 mapema sometimes mechi za mwisho mwisho zinakuwaga Tata. Anyway Real sasa wanatakiwa washinde 15 games mbali na hivi viporo to win la liga
viporo viwili hivi ni mtaji pia tutakua tunacheza kwa madoido