Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #24,861
Endeleeni kutupia kinachojiri huko maana huku kwangu TANESCO washafanya yao.
ila leo mpira hata sija enjoy sana naona wanacheza cheza tu
mchango wa marcelo sijauona kama siku nyingineForward line haipo sawa kabisa leo. Hakuna hata shoots on target