Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #24,301
BVB's Dembele is on Zidane's list and rates him among the best in France.
Mtego huu kwa Pepe.. aondoke akavune salio la kutosha au abaki aendelee kujivunia kuwa kikosini.There is an offer on table for Pepe from China, €10m/year. That's twice what he earns at Real Madrid. [MARCA]
Huu ni muda wake kukusanya mafao ya uzeeni. Akikipiga miaka miwili hivi basi mtaji tosha kabisa wa kusukuma maisha mbeleMtego huu kwa Pepe.. aondoke akavune salio la kutosha au abaki aendelee kujivunia kuwa kikosini.
Tunashukuru kwa mchango wake aende sasa akajikusanyie salio kwa wavimba machoMtego huu kwa Pepe.. aondoke akavune salio la kutosha au abaki aendelee kujivunia kuwa kikosini.
Mtego huu kwa Pepe.. aondoke akavune salio la kutosha au abaki aendelee kujivunia kuwa kikosini.
Huu ni muda wake kukusanya mafao ya uzeeni. Akikipiga miaka miwili hivi basi mtaji tosha kabisa wa kusukuma maisha mbele
Tunashukuru kwa mchango wake aende sasa akajikusanyie salio kwa wavimba macho
Jackpot bingo na ITV hiyo kama kabeba ueuro naUCL nini kimebaki kwake aende akawaburudishe wavimba macho ila tunashukuru kkwa utumishi wake mwemaWe will miss Pepe, lakini kwa hii situation bora aende tu. €20M for two seasons ni lottery hiyo.