Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
Zidane: "It is just one point, it does not taste like a victory. It is a good point, we keep picking them up."
Benzema anaigharimu sana team kwa kweli, ninajua tunapo elekea Zidane atakuja elewa tu kuwa jamaa habebeki, ona dakika kadhaa alizopewa Mariano, unamwona kabisa Kijana yupo very effectiveBenzema ndio sababu ya draw hii, otherwise matokeo yangukuwa tofauti.
Si unajua jamaa anafanana na kadi ya njano, yaani kabla hata game tayar tuna assume kuwa kuwa ameshapewa tayar, Ila maajabu game mbili mfulilizo jamaa hajapewa kadi.Ramos asipopewa kadi roho inamuuma kwel yaan
Ramos ametutoa kimasomaso ila naona unataka nimchukie.. Unampa makissSergio Ramos baby![]()
![]()
![]()
Bora roho yangu imepata afueni.
