Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #23,421
Hii ya Marcelo mwenyew nimeipenda, angeanza Leo si ajabu angekeso El Clasisco., Alaf kumbe Fabio aliumia tena?
Zidane anapenda sana hii system, ila 4-4-2 ndio ninaona kama ndio inatufaa zaidi.Kwahiyo leo tunacheza 4 - 3 - 3
Ramos Leo atakuwa na wakati mgumu kweli kweli, akipewa kadi ya njano Leo ina maana atakosa game inayofuata dhidi ya Barcelona!! So ni jambo kumua tu mwenyew kama anataka kucheza game inayofuata ama laa !!
Zidane anapenda sana hii system, ila 4-4-2 ndio ninaona kama ndio inatufaa zaidi.
Kweli kabisa, kwanza ile game ya Atletico agecheza, ila Zidane aliamua kuwaamini Nacho na Varane na wakafanya vizur!! maana yake hata El Clasisco Ramos asipokuwepo ni poa tu.Ingekuwa kocha mwingine Ramos angekaa bench leo, lakini Zizou hayuko hivyo anaangalia point kwanza.