Ohoooooooo....hapo sasa ndo utapojua utaifa huwa unawasumbua hawa makocha....benzema anaenda wap sasa...huyu anatakiwa akae benchi kama mechi tano hv akili imkae sawa

Hawa always ni wateja wetu. Yaani sijui kitu gani wanatusuaga. Namuona Diego Simeone anaondoka soon, we subiri tu. Hii game inawafanya wawe hatarini hata kucheza Europa league msimu ujao.