Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #23,101
More than 900 policemen will be at the Calderon for safety concern before, during and after the Derby. 350 Madridistas will be there. [AS]
Kiukweli sina iman ya ushindi leo hasa kukosekana kwa Casemiro,Morata na Kroos.
Haitokuja kutokea daima kufungwa hizo goli hata tuwe wazembe vipi.Nina mashaka tutalala kwa goli zisizopungua tatu au nne maana ukuta wetu haupo imara maana ramosi ndio anatoka hospitali
OK, ngoja tuone.. Ila James angeanza instead of Isco ingekuwa poa sana.Kroos, Morata, Casemiro and Pepe injured but our squad still very good. Game itakuwa tough lakini ushindi ni lazima wala usiogope. Atletico wamekaa kwenye reli vibaya, we are not going to lose any game this season. Save this comment [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
Tusubiri but kufungwa leo lazimaHaitokuja kutokea daima kufungwa hizo goli hata tuwe wazembe vipi.
OK, ngoja tuone.. Ila James angeanza instead of Isco ingekuwa poa sana.
Haitokuja kutokea daima kufungwa hizo goli hata tuwe wazembe vipi.
Zidane ni kocha mzuri tusubiri huenda pia mambo yakawa mazurAchana nae huyo, katumwa au hujamshtukia tu?
It seems like Nacho & Vazquez wanaanza leo
Duu, Nacho hawezagi game za kibabe!! analetega upole wake mpaka kwenye kazi.It seems like Nacho & Vazquez wanaanza leo