Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

More than 900 policemen will be at the Calderon for safety concern before, during and after the Derby. 350 Madridistas will be there. [AS]

 
Kiukweli sina iman ya ushindi leo hasa kukosekana kwa Casemiro,Morata na Kroos.


Kroos, Morata, Casemiro and Pepe injured but our squad still very good. Game itakuwa tough lakini ushindi ni lazima wala usiogope. Atletico wamekaa kwenye reli vibaya, we are not going to lose any game this season. Save this comment [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
 
Ramos will play his 34th Derby tonight and they'll be the most team he has faced (until the next Clásico - also 34)

 
Nina mashaka tutalala kwa goli zisizopungua tatu au nne maana ukuta wetu haupo imara maana ramosi ndio anatoka hospitali
 
Nina mashaka tutalala kwa goli zisizopungua tatu au nne maana ukuta wetu haupo imara maana ramosi ndio anatoka hospitali
Haitokuja kutokea daima kufungwa hizo goli hata tuwe wazembe vipi.
 
The players arrived at Real Madrid City where they will rest up at the residences until the hours before the game.









 
OK, ngoja tuone.. Ila James angeanza instead of Isco ingekuwa poa sana.


For what he has done with National team last week I can see Isco starts. Zidane anaangalia sana perfomance, hata hivyo non of them is good in defending na Simeone atachezesha middle nne na lengo litakuwa kumkamata Modric. Hizi middle ndio zitasaidia kushambulia kwasababu watacheza long balls na speed game na forward line itakuwa na watu wawili tu. Kiujumla watacheza very defensive game kwasababu hawa watu wanne wa nyuma watakuwa hawahami kwenda popote, jukumu lao kubwa ni kumlinda Oblak.
 
It is expected that Karim Benzema will play only one half tonight. [MARACA]

 
Catalans drew 0 - 0 against Malaga at home ground, So is up to Real Madrid to take more points and increase the gap.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…