Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,703
- 6,368
Hahaha, Marcelo bhana, vituko hua haviishi!! Jamaa anaonyesha anapenda utani sana.Marcelo trying his level best not to get injured in international break . What a guy![]()
![]()

Hahaha, Marcelo bhana, vituko hua haviishi!! Jamaa anaonyesha anapenda utani sana.
Mbona kama majeruhi yanawaandama vijana wetu sana? Huku Morata kule Kovacic, hapo bado wengine tunawasikilizia wapone, kazi ipo kwa kweli!!
Na iwe hivyo aisee, sababu tunapoelekea tuna game za muhimu kweli kweli !!Nafikiri both will be fine on next saturday.