Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

CR7 anapaisha eneo ambalo yupo freely kabisa....jamaa anazeeka huyu
 
Hawa ilitakiwa wapigiwe pressing pass towards their goal.
 
Kapoteza nafasi za wazi kama 3, sometimes hawa untouchable players wanazingua tu. Kuna vijana kule bench hawapewi nafasi, hii ni bullshit system.
Kuna kila sababu ya kudisband hawa wanaojiita BBC, wanazingua tu, Kila siku tunabaki kusema afadhali huyu, Leo ni zamu ya Ronaldo kuruka ruka, Bale na yeye kupiga mipira ya mbali ananiudhi sana, kwanin asisogee?
 
Kapoteza nafasi za wazi kama 3, sometimes hawa untouchable players wanazingua tu. Kuna vijana kule bench hawapewi nafasi, hii ni bullshit system.
Ni kwel kabisa...unajua huu mfumo wa mpira biashara umeharibu sana matokeo uwanjan...yaan kuna wakat unaona kabisa hapa siyo sawa ila ndo hivyo kudadeq
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…