Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #22,361
ATM amechezea kichapo Leo, ni wakati wetu sasa wa kuweka gap la point 3 na hawa majirani!! Hope vijana wa Zidane wamepata hii habar njema!!
Mkuu inaonekana Zizou anamwamini Karim kinoma, saa nyingine huwa ninaona kama anamsaidia ili asijione kama anatengwa kutokana na kinachoendelea kwenye team yake ya Taifa. Jana alidai kuwa Morata atulie atacheza kwani hizi mbio ni za Marathon, maana yake atapata nafasi huko mbeleni!! Ila ni ukweli usiopingika, Morata yupo vizur kwasasa zaid ya Benzema!!Alvaro Morata is 24 today! I hope he starts tonight ahead of Benzema ... he needs some quality time...
[HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]