Danilo alijitahid sana kwa kweli!! ila alinichekesha kwa coment yake baada ya game, kwamba Eibar wakae chonjo, hasira zote zitaishia kwao hiyo jumapili!!
Morata vp tena, alipata pancha nini, anahitajika sana jumapili hii. Eibar wapo vizur sana na si wakuwachukulia poa, ila tunatakiwa tuwapige goli nyngi ili confidence ya vijana wetu irudi.