Ingawa historia inawabeba, sina shaka tutafanya vizur usiku huu!! Ninajua watatuchukulia poa kutokana na game zetu zilizopita, hapo ndio watatusoma!! #We're Real Madrid !!
BvB wana majeruhi wengi sana pia ikumbukwe hii sio ile ya klopp mzee wa big games, batra, reus hawatakuwepo, kuondoka kwa gundogan na Hummel's kumeacha pengo kubwa kwao.
Watu wa kuwa angalia sana ni ousmane dembele na Guerreiro
Eneo la kati leo linanipa wasiwas kidgo maana sion mtu wakuharibu mambo hapo na pia upande wakushoto yupo danilo...napata ahueni kumuona mdogo wangu navas karudi