Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,706
- 6,373
Hii game imenichosha sana kwa kweli!! this time kila kitu kimekataa!!
Hii game imenichosha sana kwa kweli!! this time kila kitu kimekataa!!
Wanachosha wenzao tu hawa watu, wanashindwa hata kupress yani, wapo wapo tu!! Zidane aangalie, kama hawa watu hawapo fit apange vijana wengine, tuna team nzuri tuThis fuckin' BBC shit is not our way of winning games. For the second time they were not there at all.
Wanachosha wenzao tu hawa watu, wanashindwa hata kupress yani, wapo wapo tu!! Zidane aangalie, kama hawa watu hawapo fit apange vijana wengine, tuna team nzuri tu
Duu, Afadhali hawa wajamaa wametoka draw!! Bado tumepewa nafasi ya kujirekebisha!! Next Las Palmas!!
na wametoka kula kuchapo kwa sociaded wanaweza zaa na sisi...Las Palmas sio wa kuwapimia kihivyo, tena nyumbani kwao. Si unakumbuka last season!
na wametoka kula kuchapo kwa sociaded wanaweza zaa na sisi...
Ninawasoma sana Mkuu, kama kawaida yao watatukamia tena safar hii, ila Boateng hatokuwepo, nimeona amepewa red card!!Las Palmas sio wa kuwapimia kihivyo, tena nyumbani kwao. Si unakumbuka last season!
Walitukazia sana last season tukawafunga kwa mbinde pale kwaoLas Palmas sio wa kuwapimia kihivyo, tena nyumbani kwao. Si unakumbuka last season!